Tovuti ya habari ya Marekani ya Axios inasema Rais Donald Trump amedokeza uwezekano wa kutuma meli ya pili ya kubeba ndege ...
Serikali ya Lebanon imesema Jumatatu kuwa jeshi litahitaji angalau miezi minne ili kuanzisha awamu ya pili ya mpango wa ...
Picha hii ni ya kompyuta inayofanana na jengo kubwa la ghorofa iliopakiwa kwenye chumba kimoja kilichokuwa na kompyuta iliyowasaidia Washirika kushinda Vita kuu ya Pili ya Dunia. Makao Makuu ya ...
Jumba la makumbusho lililofunguliwa hivi karibuni nchini India linahifadhi mabaki ya ndege za Marekani zilizoanguka kwenye Milima ya Himalaya wakati wa Vita vya Pili vya Dunia. Tangu mwaka wa 2009, ...
WAKATI Ligi Kuu Bara ikiendelea kusonga kwa kasi huku ikishuhudiwa pia timu nyingine zikianza raundi ya pili ya lalasalama, ushindani unazidi kuongezeka kutoka mechi moja hadi nyingine, ...
KAMISHNA wa Uhifadhi wa Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS), Prof Dos Santos Silayo, amewataka viongozi na makamanda wa vituo vya wakala huo kubadili mtazamo wa uongozi kwa kusikiliza wananchi, ...
"Wanamapinduzi wa Libya Kusini" wanadai kushambulia msafara wa Jeshi la Kitaifa la Libya (LNA) uliokuwa ukisafirisha mafuta kwenda Sudan siku ya Jumatatu, Februari 9. Siku chache mapema, Januari ...